Loading...
Propellerads

Diamond Platnumz Katoa Sababu ya Kuwa na Picha ya AliKiba Kwenye Ofisi za WCB.

Akiongea na Clouds FM kupitia Perfect Crispin alitoa kauli hii….

Diamond alisema:

 “Unajua ofisi ya WCB sio ya Diamond Platnumz sio ya Harmonize sio ofisi ya wakina Tale ni ofisi ya Muziki wa Bongo Fleva ambayo imekuwepo kuleta maendeleo kwenye muziki wetu, kwahiyo nimeamua kuweka zile  picha za mastaa ikiwemo ya Alikiba  kwamba ndio wasanii wenye mchango kwenye muziki wetu “
TANGAZO LA NDANI===
Facebook Blogger Plugin by SAMCHARDTZ

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JUMBA LA HABARI | Designed By PRODUCER CHARD
Back To Top