
Mwandaaji wa pambano hilo Jay Msangi amesema mshindi wa pambano hilo atajinyakulia Mkanda wa ubingwa, huku pia kukiwa na mapambano mengine mengi ya utangulizi ambayo yatawakutanisha mabondia kutoka Tanzania na nje ya Tanzania.
Jay Msangi ameongeza kwa sasa wataandaa mapambano mengi ya kimataifa kwa mabondia wa Tanzania kwa lengo la kuwandaa kufuzu mashindano ya Olimpiki nchini Japan.
TANGAZO LA NDANI===
Facebook Blogger Plugin by SAMCHARDTZ




Chapisha Maoni