Klabu ya Manchester United imetangaza kumpa mkataba mpya beki wa
kimataifa wa Uholanzi, aliyejiunga na Academy yao 2014 Timothy Fosu
Mensah ambaye ana miaka 18, amesaini mkataba mpya utakaomfanya aitumikie
timu hiyo mpaka mwaka 2020.
Fosu-Mensah ambaye ana asili ya Ghana, ana uwezo wa kucheza nafasi ya
beki na kiungo mkabaji alijiunga katika academy ya Man United akiwa na
umri wa miaka 14.
Chapisha Maoni