Loading...
Propellerads

Luis Suarez akabidhiwa kiatu chake cha Dhahabu

Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amekabidhiwa kiatu cha Dhahabu (European Golden Shoe) kwa kuibuka mfungaji bora Barani Ulaya msimu wa 2015/2016.
398d869700000578-0-image-a-69_1476969347802
Luis Suarez holds his Golden Shoe award alongside daughter Delfina and son Benjamin
Suarez alifunga magoli 40 katika La Liga , na hivyo kumfanya achukue kiatu hicho kwa mara ya pili.
Mara ya kwanza alichukua akiwa Liverpool msimu wa 2013/2014
Kiatu hicho hupewa mchezaji aliyefunga magoli mengi katika ligi kuliko mchezaji mwingine yoyote kwenye ligi kubwa barani Ulaya.
TANGAZO LA NDANI===
Facebook Blogger Plugin by SAMCHARDTZ

Chapisha Maoni

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JUMBA LA HABARI | Designed By PRODUCER CHARD
Back To Top